by Oliver Kala-December 31, 2024 A: MALENGO YAKO YA MWAKA MPYA??!! Kauli hii ndiyo inayotofautisha kati ya watu wanaoishi kwa ajili yao na wale wanaoishi kwa ajili ya Yesu hapa ulimwenguni!20 Maana sina mtu mwingine mwenye nia moja nami, atakayeiangalia hali yenu kweli kweli.Wafilipi 2:20 21 Maana wote wanatafuta vyao wenyewe, sivyo vya Kristo Yesu.Wafilipi…
Read more...
Mathayo 6:24-25 [24]Hakuna mtu awezaye kutumikia mabwana wawili; kwa maana atamchukia huyu, na kumpenda huyu; ama atashikamana na huyu, na kumdharau huyu. Hamwezi kumtumikia Mungu na mali. No man can serve two masters: for either he will hate the one, and love the other; or else he will hold to the one, and despise the…
Read more...
AMRI ZA YESU Amri za Yesu! (The commandments of Jesus ) 1) Chochote alichosema Yesu au kuagiza au kuelekeza kwamba ‘ukifanye’ NI AMRI YAKE KWAKO 2) Chochote alichosema Yesu au kuagiza au kuelekeza kwamba ‘uwe hivyo’ NI AMRI YAKE KWAKO ● mwenye kumtii Yesu ni yeye aliyetubu, (mwenye moyo wa toba), mnyenyekevu, na mcha Mungu!…
Read more...